karibuni wajumbe wote wa TRSA leo tarehe 29/1/2016 katika mkutano wetu wa kwanza kwa mwaka 2016
karibuni tushiriki, tufaamiane na tujadili kwa pamoja ili tupate kile tunachokikusudia kwa pamoja
ajenda zitakazo jadiliwa ni pamoja na
1.kufungua kikao- mwenyekiti TRSA
2. taarifa ya utendaji- katibu mkuu TRSA
3. taarifa ya mapato - mweke hazina kuu
4. majadiliano
5. majadiliano kuhusu siku ya nyanda za malisho
6. mengineyo
7. kufunga kikao
KARIBUNI WOTE
No comments:
Post a Comment