BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO YALIYOPATA KUTUUNGANISHA KWA KIPINDI CHETU HATA SASA TUNAPOELEKEA KUMALIZA SAFARI YETU.
Katika kipindi chote tulichoishi pamoja katika mazingira ya chuo, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu na hatimaye sasa safari tunaelekea kuimaliza. Leo ntatoa baadhi ya picha mbalimbali za matukio yaliyokuwa ya furaha tangu tukiwa mwaka wa kwanza na hata sasa tunapokaribia kuhitimu masomo yetu. Twende pamoja katika kumbukumbu hizi....The dream team mwaka wa kwanza hapo |
Siku tuliyokaribishwa SUA |
pasture establishment-yr 2 |
Maandalizi ya saileji- yr2 |
FPT- Stendi mpwapwa |
Maandalizi ya kupanda C. ciliaris-yr2 |
FPT mpwapwa- Animal grazing beahior yr2 |
FPT mpwapwa- baada ya kujifunza fire mgt |
Long trip to KITETO DC |
FPT- bwawani Namelock |
FPT- Tukiwa na wafugaji |
FPT- Tukiwa kata ya makame Kiteto dc (Maasai mara) |
FPT-Kisima cha maji |
FPT-Tukiwa na Dr. Sangeda Kiteto |
FPT- KITETO DC Tukipata mapitio ya mafunzo yetu. |
FPT-Chanzo cha chumvi kwa mifugo Kilindi dc |
FPT- Trip to Kilindi dc |
FPT-Prof Mahonge akitoa neno Kilindi dc |
FPT- Kwamaligwa dam Kilindi dc |
FPT- Kilindi dc |
Picha ya pamoja na wafugaji |
FPT- Kikao na wafugaji kijiji cha Elerai |
FPT-Kikao na wafugaji kijiji cha Elerai |
Range day 2017 |
Range day 2016 |
Range improvement |
FPT- Biodervesity |
HAKIKA HII NI THE DREAM TEAM 2014-2017 |
KUMBUKUMBU HII IMEANDALIWA NA
Linus, Floidin John
Asante kwa kumbu kumbu nzuri..
ReplyDeletepamoja sana mkuu
Delete